ELIMU

LUHIRA HIFADHI YA ASILI YENYE AINA 105 ZA UYOGA

on

HIFADHI ya asili ya Luhira ipo mjini Songea, ina ukubwa wa hekta 600.Licha ya hifadhi hiyo kuwa na wanyama wa aina mbalimbali wakiwemo pundamilia, pongo, fisimaji, nyani, tumbili, kakakuona, kobe na chatu. Hifadhi hiyo pia ina utajiri wa mimea ya aina mbalimbali ikiwemo uyoga aina 105. Hifadhi hii ilianzishwa mwaka 1973. Tozo ya kiingilio Raia wa Tanzania watu wazima sh.2000,watoto wenye umri kati ya miaka sita hadi 16 sh.500 na Watoto chini ya miaka sita ni bure.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply