AFYA

New Video : Sir Choma – Kunja Dera

on

Msanii Sir Choma ameachia Video ya Wimbo wake alioupa jina “Kunja Dera” upo kwenya Mahadhi ya Singeri, Ngoma hiyo imetengenezwa na Mtayarishaji wa Muziki Mesen Selekta huku Video hiyo Ikiongozwa na Paschal Katambo.

Enjoy.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Leave a Reply