AFYA

VIDEO: SERIKALI YATANGAZA FAINI UTAKAYOPIGWA UKIKUTWA NA POMBE YA VIROBA

on

Machi 1 2017 Serikali imeshatangaza kuwa Pombe za viroba ni marufuku kuanzia mtaani na utengenezaji viwandani ambapo baada ya hapo kwa yeyote atakayekutwa nayo aidha amebeba ama kutengeneza atakutana na sheria kali iliyotungwa.

Kuanzi march 2 2017 operation ya upekuzi kutafuta pombe hizo za Viroba ambayo itaongozwa na kamati za ulinzi na usalama za mikoa.

___________________________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you