AFYA

New Video : Mwasiti – Kaa Nao

on

Ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa, video ya ngoma mpya ya mwanadada Mwasiti inayoitwa “Kaa Nao” hatimaye leo imeachiwa rasmi.

Video imedirectiwa na Ivan. Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuitazama.

_______________________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you