AFYA

U-HEARD-: GIGY MONEY ACHORA TATOO KWENYE KALIO! AFUNGUKA KUHUSU KUACHANA NA MO J

on

Kuanzia jioni ya jana moja kati ya issue zilizokuwa zinatrend sana katika mitandao ya kijamii ni pamoja na video inayo muonyesha mwanamitindo na video vixen maarufu Bongo Gigy Money akiwa anachorwa tatoo katika kalio lake.

Kama ulipitwa na video hiyo unaweza kuikodolea macho hapa chini.

Kazi zingine bhana zinataka Moyo. @shuusalon njoo nikuchoreeeeeeeeeee ????

A post shared by Dj Kizo (@djkizzoo) on

Wapo ambao wamedai kwamba mwanadada huyo amefanya hivyo ili kutafuta kiki kwa kuona kwamba jina lake linaanza kupotea. Sasa kumaliza utata Soudy Brown amemvutia waya na kupiga nae story kuhusiana na tatoo hiyo.

Pia katika maongezi ya Soudy Brown na Gigy utaweza kusikia ukweli kuhusu mahusiano ya Gigy na mpenzi wake Mo J yako vipi kwasasa. Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kusikiliza.

___________________________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you