AFYA

MAHAKAMA KUU KANDA YA ARUSHA IMEMWACHIA LEMA KWA DHAMANA

on

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha Mjini baada ya kupitia hoja za mawakili pande zote imemwachia kwa dhamana Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema. Ameachiwa kwa dhamana ya masharti ya wadhamini wawili na kusaini bondi ya shilingi milioni moja.

Mbunge huyo ametimiza masharti ya dhamana.

__________________________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you