AFYA

JACKLYN WOLPER AWATOLEA POVU WANAO MUANDAMA RC MAKONDA MTANDAONI

on

Ukiwa kama Mtumiaji wa Mitandao ya Kijamii hasa WhatsApp, Instagram na Facebook utakuwa umeshakutana na Status au picha nyingi ambazo zinamzungumzia RC Makonda.

Sasa Mlimbwende kunako Bongo Movie star Jacklyn Wolper ameamua kuingilia kati na kutoa povu lake juu ya Ishu hizo nzima zinazoendelea Mitandaoni.

Nimevaa kiatu chake kimenibana paka kinataka kunipasua kisigno Jamani wa Tanzania tuwe na utu acheni kumtukana Huyu Kaka daaaah hivi ni nani ambae yupo perfect mpk aanze kumtukana kaka wa watu jmn…nimepost nikiwa km binadam wa kawaida ambae nina moyo!muhurumieni kaka watu acheni Mungu awe muhukumu basi!” – Jacklyn Wolper aliandika katika Instagram account yake.

_______________________________________________________________

PAKUA APPLICATION YETU KUPATA HABARI ZETU KWA HARAKA KWA KWENDA PLAYSTORE NA SEARCH LINDI YETU, AU BOFYA LINK HII HAPA

DOWNLOAD LINDI YETU APPLICATION

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you