AFYA

VIDEO – WATUMISHI WA SERIKALI, WANANCHI WASHIRIKIANA KULIMA BANGI NYASA

on

Baadhi ya watumishi wa serikali wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wamekuwa wakishirikiana na wananchi katika kilimo halamu cha zao la bangi wilayani humu.

Mpaka sasa wananchi watano wakiwemo watumishi wa serikali wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kujihusisha na kilimo cha bangi.

____________________________________________________________

PAKUA APPLICATION YETU KUPATA HABARI ZETU KWA HARAKA KWA KWENDA PLAYSTORE NA SEARCH LINDI YETU, AU BOFYA LINK HII HAPA

DOWNLOAD LINDI YETU APPLICATION

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you