AFYA

New Video | Gaucho – Sawa | Watch Here

on

Hii ni mpya Kutoka kwa Shilole Entertainment, inamtambulisha Gaucho na Kazi yake Mpya kabisa aliyoipa jina “SAWA”, Audio imetengenezwa na Producer Mr. T Touch huku Video hiyo ikiongozwa na Khalfani Khalmandro.

Enjoy the Good Music.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you