AFYA

U HEARD: NDOA YA MENEJA WA DIAMOND YADAIWA KUINGIA KWENYE MGOGORO

on

Ndoa ya meneja wa mwimbaji Diamond PlatnumzBabu Tale imedaiwa kuingia kwenye mgogoro baada ya mke wake kucomment maneno makali kwenye post ya meneja huyo ambapo baadae Babu Tale aliyafuta.

Katika post hiyo Babu Tale alipost picha akiwa na mke wake huyo na kuandika …..“Utajiri mzuri wa familia nasfi zikiwa zenye furaha”

Ndipo mke wa Babu Tale alipoamua kucoment…. “mtu yeyote mwenye hisia za kimapenzi na huyu mwanaume upo huru kumfuata, maana akiharibu anakimbilia Instagram kujitakasa, hana lolote, umaarufu unakulevya, fanya maamuzi ya kiume”

Leo March 7 2016 kupitia XXL ya Clouds FM, Soudy Brown kwenye U heard amemtafuta Babu Tale lakini hakujibu lolote na ndipo alimpigia rafiki wa karibu Said Fella ambaye alidai hajaona chochote maana yupo hospitali anamuuguza mkewe.

“Niko hospitali mke wangu anaumwa acha maneno, mimi niko hospitali sijasoma chochote labda nikikata simu hii nimulize mdogo wangu nini kimemsibu”.

__________________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you