AFYA

New Audio | Tammy The Baddest – Mtoto wa Kike | Download

on

Mmoja kati ya marapper wakali kinoma noma kwasasa hapa Bongo ni huyu hapa Tammy The Baddest, mrembo ambaye wengi humfananisha na Nicki minaj kuanzia kwenye style ya kuflow mpaka muonekano.

Katika siku hii ya Wanawake Duniani, Tammy ameamua kudropisha ngoma mpya ambayo kaipachika jina la “Mtoto wa Kike”, unahisi amezungumzia nini humo ndani.

Nakupa nafasi ya kuweza kuenjoy nayo kwa kuisikiliza na hata kuidownload kupitia widget hii hapa chini. Enjoy

__________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you