AFYA

New Audio | Tross Machine – Barua | Download

on

Magic Music Empire (MME) inamtambulisha kwenu Muuza Vitunguu kutoka uyole Tross Machine ambaye ameamua kuingia kwenye Tasnia ya Muziki na kutupa karata yake ya kwanza kabisa na Kuipa jina “BARUA”. Audio ya Ngoma hiyo imepikwa na Producer Abbah Process.

Unaweza download Hapa Chini.

____________________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you