AFYA

New Audio | Shilole – Hatutoi Kiki | Download

on

Mwanadada Shilole amedropisha ngoma yake mpya mapema jana kwenye kipindi cha leo tena cha Clouds FM. Ngoma ambayo imepewa jina la “Hatutoi Kiki”.

Producer ni Mesen Selekta na mwandishi wa ngoma hiyo ni Barnaba Classic. Ngoma flani hivi ya kuchezeka, nikaona sio kesi kuifikisha karibu yako. Enjoy

_______________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you