AFYA

DODOMA: BASHE, MSUKUMA NA MALIMA WAACHIWA

on

Kufautia Habari zilizoripotiwa hapo awali ambazo zilieleza kwamba wanachama watatu wa Chama cha Mapinduzi CCM kushikiliwa na Polisi kwa mahojiano Mjini Dodoma.

Taarifa zilizotufikia ni kwamba Wanachama hao ambao ni Mh. Bashe, Msukuma na Malima wameweza kuachiwa huru.

Nini wamehojiwa, Kwa nini wameachiwa na Hatma yao endelea kuwa nasi Tutakujuza hapo Baadae.

______________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you