AFYA

U-HEARD-: MAPENZI YAENDELEA KUMLIZA WEMA SEPETU!

on

Jana simanzi ilienea katika mtandao wa instagram baada ya mrembo mwenye nguvu kubwa ya ushawishi, Wema Sepetu kupost picha kwenye page yake ya instagram, picha ambayo ilimuonyesha akiwa katika hali ya simanzi na kuandika caption iliyosomeka kama “Mood”.

Mood…

A post shared by Wema Sepetu (@wemasepetu) on


Kitu ambacho kiliwatia simanzi wengi hasa mashabiki zake na kufanya maswali kuwa mengi katika vichwa vyao kujiuliza ni jambo gani limemtia simanzi mrembo huyo.

Shilawadu hawakubaki nyuma, wakazua story kwamba ni mapenzi ndio ambayo yanamliza mrembo huyo na kudai kwamba huenda ameachwa na aliyekuwa akisemekana kuwa ni mpenzi wake afahamikaye kama Kibabude.

Soudy Brown amemtafuta Wema Sepetu bila mafanikio na badala yake ameamua kupiga story na Kibabude ili kuliweka sawa jambo hili.

Uhondo kamili nimekuwekea hapa kwenye video hii hapa chini, bonyeza play kusikiliza mwanzo hadi mwisho.

____________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you