AFYA

VIDEO : MAALIM SEIF AMPIGA MARUFUKU LIPUMBA KWENDA ZANZIBAR, AANDAA ULINZI MAKAO MAKUU

on

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi(CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amempiga marufuku Prof. Lipumba kukanyaga ktk Makao Makuu ya Chama hiko yaliyoko Mtendeni, Zanzibar.

Amedai kuwa Lipumba anasema kuwa ana wafuasi huko Zanzibar lakini yeye na Wanachama wengine watayalinda Makao Makuu hayo muda wote na hatoweza kuingia.

Unaweza Kumsikiliza Hapa chini Akifunguka Mengi zaidi.

________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you