AFYA

RATIBA ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE, SAMATTA ADONDOKEA SPAIN

on

Moja kati ya ndoto kubwa sana za Mtanzania Mbwana Samatta ambayo alikuwa anatamani sana kuitimiza mwaka huu ni pamoja na kukanyaga Old Trafford.

Ikiwa ni baada ya kutamani club yake ya KRC Genk kupangwa na Manchester United katika hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Europa league, lakini mambo yameenda ndivyo sivyo.

Leo ijumaa ya March 17 droo ya Robo Fainal ya michuano hiyo imechezwa na timu zimepangwa kama ifuatavyo.

____________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you