AFYA

MKUU WA MKOA ANUSURIKA KIFO KWA KUGONGWA NA GARI AKIFANYA MAZOEZI ASUBUHI HII

on

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18, 2017 mjini Iringa huku mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na katibu tawala Wamoja Ayubu wakinusurika katika ajali hiyo.
Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa wa Iringa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.
Ajali hiyo imesababishwa na dereva taxi kuwaparamia wafanya mazoezi hao.
_____________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you