AFYA

KLABU YA YANGA KUKIPIGA NA POLISI DODOMA MARCH 25, 2017 JAMHURI STADIUM

on

Kufuatia maombi ya Mchezo wa kirafiki ulioombwa na Polisi Dodoma dhidi ya Yanga, Klabu ya yanga kupitia kwa Katibu wa klabu hiyo Boniface Mkwasa umetoa taarifa ya Kukubaliana na Maombi ya Polisi Dodoma.

Na sasa Mchezo huo umepangwa kuchezwa siku ya Tarehe 25/03/2017 katika dimba la Jamhuri mjini Dodoma, Ifuatayo ni taarifa rasmi iliyotolewa na Klabu ya Yanga.

__________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you