AFYA

NAPE MNAUYE ATOA TAMKO DHIDI YA TETESI ZA KUVAMIWA KWA CLOUDS MEDIA

on

Kufuatia Uvumi wa Kuvamiwa kwa Clouds Media na kupelekea taharuki kwa watanzania na wapenzi wa Chombo hicho cha Habari na Burudani nchini.

Waziri mwenye dhamana Nape Mnauye ameona sijambo jema la yeye kukaa kimya na akatumia Akaunti yake ya Twitter kueleza wananchi kuwa wanatakiwa kuwa na Utulivu na yeye atafanya ziara siku ya kesho kujionea nini kinaendelea juu ya jambo hilo hapo Clouds.

“Kesho asub kama Waziri Mwenye dhamana na HABARI nitatembelea CloudsMedia kujua kilichotokea.Nawaomba sana wanahabari nchini KUTULIA kwasasa!”

Na hii ni Tweet yake Mh. Nape.

_________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you