AFYA

TETESI :: RAIS AMWITA MAKONDA IKULU ASUBUHI HII

on

Kufuatia Tetesi zinazoenea Mitandaoni zinazo mhusisha RC wa Dar es salaam kuvamia ofisi za Clouds Jijini Dar. Taarifa ambazo zimetufikia hivi punde zinaeleza kuwa Rais amemwita Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa mazungumzo/mahojiano japo haijathibitika kuwa ameitwa kwa sababu hiyo au la.

Endelea kukaa nasi tutakujuza hivi Punde.

 

________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you