AFYA

VIDEO :: HATIMAE MEYA WA UBUNGO AWASILISHA MALALAMIKO DHIDI YA RC MAKONDA

on

Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob Leo March 22 2017 amewasilisha malalamiko kwenye Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma na Viongozi dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki, mali na ukiukwaji wa miiko ya viongozi.

Meya Jacob amesema amefikisha malalamiko hayo kama raia wa kawaida ili RC Makonda aitwe kwenye Baraza la Maadili ya Viongozi ahojiwe.

Bonyeza play hapa chini kuitazama

_________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you