AFYA

VIDEO: ICHEKI EPISODE 1 YA MTV SHUGA ‘DOWN SOUTH’ AMBAYO VANESSA MDEE YUMO NDANI

on

Kama ulidhani kuwa kipaji pekee cha Vanessa Mdee ni kuimba basi sanukia surprise hii ya msimu wa tano wa series ya MTV Shuga ‘Down South’ itakuacha mdomo wazi ukijiuliza maswali mengi sana juu ya uwezo wake wa kuigiza.

Season 5 ya MTV Shuga (Down South) Ipo hewani tayari  na Vanessa Mdee ni miongoni mwa sura mpya zinazoonekana kwenye msimu huo. Storm (Vanessa Mdee) ni mke wa Rakeem, mwanaume tajiri anaemiliki na kuendesha biashara kubwa ya club nchini South Africa.

Kwenye Episode hii ya kwanza Storm anakutana na Femi Promota wa muziki kutoka Nigeria mwenye mategemeo ya kuleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya burudani jijini Johanesburg na kwenye Club ya bosi wake mpya, Rakeem.

Je, Femi ataweza kufanikisha malengo yake na kumfurahisha bosi wake ama ataishia kupotea na kunasa kwenye mitego ya Storm? ITAZAME HAPA.

___________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana