Kitaifa

BREAKING: Kutoka IKULU, Rais Magufuli katengua uteuzi mwingine leo

on

Kutoka IKULU Dar es salaam Muda huu kuna hii Habari ya Rais John Pombe Magufuli ya Kutengua uteuzi wa katibu wa Nishati na Madini.

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe March 26 2017 ambapo nafasi hiyo itajazwa baadae.

____________________________________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you