Wasanii

Hili ndilo Jibu la Rosa Ree Baada ya Joh Makini Kumtamkia Maneno haya

on

Baada ya Joh Makini kufunguka kuhusu Rosa Ree na kumtaja kama moja ya marapper watakaokuja kuwa tishio, Rosa Ree nae afunguka ya kwake.

March 31 kwenye kipindi cha XXL ya Clouds FM ngoma ya Waya yakwake Joh Makini ilisimama kama jiwe la wiki, na huku ukiwa unazungumzia wasanii wakali wa HipHop Bongo huwezi kumwacha Joh Makini kutokana na heshima na mafanikio ambayo amejiwekea, Sasa baada ya Bdozen kufunguka kwa Joh Makini kuhusu wasanii wapya ambao wanafanya vizuri kwa mtazamo wake, Joh Makini alifunguka kwa kumtaja Rosa Ree kama moja ya marapper wakali Bongo kama akikaza kwenye mziki huo.

Kupitia kurasa ya Instagram ya Rosa Ree, aliamua kufunguka kuhusu Coment hiyo ya Joh Makini kwa kusema kwamba “I appreciate the love My Brother @johmakinitz …. Nafata ushauri nitazidi Kukazaaa!!!!??? God bless the hand behind it all @nahreel”.


_______________________________________________________________________

JOIN US IN ALL SOCIAL NETWORK

Dont Miss anything!! Follow us at FacebookTwitter and Instagram for more all Infortainment !! Dont Miss to Join us at Youtube Download our Application PLAYSTORE

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply