Kitaifa

Audio: Lisu aweka wazi Sababu ya Kukamatwa Mara kwa Mara

on

Rais wa TLS ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amezungumzia suala la yeye kukamatwa Mara kwa mara na kufikishwa kituo cha polisi kwa mahojiano, kulala mahabusu pamoja na kufikishwa Mahakamani

Lisu amesema kuwa:- “Katika nchi wapo wanaotakiwa kupata tabu kwa ajili ya mambo mbalimbali ya maendeleo, kwa sasa mimi nimejitolea muhanga kwa suala hilo” amesema Tundu Lissu.

Amefunguka Mengi sana Unaweza kumsikiliza kwa dakika kadhaa kwa kubonyeza Play hapo chini:-

____________________________________________________________________

IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply