Lindiyetu TV

U-HEARD-: Lulu Diva na Madee Mapenzini..!

on

Za kunyapia nyapia zinawahusisha wakali wawili wa muziki nchini Lulu Diva na Madee kuwa wawili hao wanatoka kimapenzi hivi sasa.

Shilawadu wamedai kwamba wawili hao hivi sasa ni mapenzi motomoto kiasi kwamba hadi kuvaliana nguo.

Soudy Brown amepiga story na Lulu Diva na kumuuliza ukweli wa tetesi hizo. Unataka kujua Lulu Diva alijibu nini? Uhondo kamili nimekuwekea hapa chini kwenye video hii. Bonyeza plau uweze kuusanukia ubuyu huo mwanzo mpaka mwisho.

____________________________________________________________________

IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply