Lindiyetu TV

VIDEO: House Girl Mchawi abambwa akipaa na Watoto wa Mwenye Nyumba

on

Katika Hali isiyo Tarajiwa Mama Mmoja mwenyenyumba alimbamba Msichana wake wa Kazi (House Girl) akiwa anatoka na watoto wake nyakati za usiku na kwenda kusikojulikana. Baada ya Kumbana katika Mahojiano msichana huyo alikiri kuwa huwa anakwenda nao kwenda kufanya vitendo vya kishirikina.

Mtazame hapa akifunguka mambo mengi.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply