Kitaifa

Paul Makonda Abananishwa Kutekwa kwa Roma

on

Kufuatia kupotea kwa Msanii Roma na Moni kumewafanya wasanii, wananchi na wadau wa Muziki kupaza Sauti zao. Katika kuoneshwa kuguswa na kadhia hii iliyomtokea Msanii Roma na wenzake kumeanzishwa Hash Tag #FreeRoma 

Babutale ambaye ni Meneja wa Msanii Diamond Platnumz yeye amekwenda mbali na ameamua kuonyesha hisia zake kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kuandika haya:-

“Uoga ni uzembe me nazani mwenye jukumu la kujua Roma yupo wapi ni Mkuu wa koa sababu yeye ndio kiongozi wa kamati ya usalama ya mkoa sasa ikiwa tumezunguka vituo vyote vya polisi na mwenzetu atumuoni nani wa kumfuata kumwambia tunamtaka mwenzetu kama sio @paulmakonda me naanza hili bila uoga mkuu wa mkoa naomba utusaidie kutuambia mnzetu @roma2030 alipo. Tukutane Tongwe mida hii me nipo kwa foleni wakuu #uogauzembe#freeroma


________________________________________________________________________

IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Leave a Reply