Lindiyetu TV

U-HEARD-: Nuh Mziwanda Kwenye Bifu zito na Bamuyu Kisa Mwanamke

on

Tumeinyaka clip ambayo imevuja katika mitandao ya kijamii wakisikika Nuh Mziwanda pamoja na msanii chipukizi afahamikae kama Bamuyu, wakitoleana maneno makali ikiwa Bamuyu akisikika akimlalamikia Nuh Mziwanda kuhusu kumtaka kimapenzi mwanamke ambaye ni mpenzi wake.

Soudy Brown amepiga story na wote wawili, Bamuyu amethibitisha kutokea kwa kisanga hicho na ameweka wazi kwamba Nuh amekuwa akimsumbua mpenzi wake mara kwa mara, ila Nuh Mziwanda amekana kabisa kumtambua mtu ambaye anaitwa Bamuyu.

Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, Bonyeza Play uweze kuusanukia mchongo mzima.

________________________________________________________________________

IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply