Kitaifa

MASHUTI YANAENDELEA…Halima Mdee Ajibu Mapigo kwa Askofu Gwajima

on

Leo hii katika Misa ya Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima, Gwajima aliongelea suala la Mbunge Halima Mdee kumtolea lugha isiyofaa Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania. alisema kuwa kauli aliyoitoa mdee sio ya kiungwana na haifai kuvumilika na inabidi aende akaombe msamaha katika kamati ya Maadili ya Bunge ambako anawito wa kufika huko.
Kufuatia kaulihiyo Mdee ameandika haya kupitia akaunti yake ya Twitter “Namuheshimu sana Mch. Gwajima, sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika” .
“Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO”.

________________________________________________________________________

IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply