Kitaifa

AUDIO :: Nape Nnauye Anena na Wazee wa Jimbo la Mtama, Asema Mambo mazuri Yaja

on

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye leo April 9 2017 amekutana na wazee wa jimbo la Mtama na kuzungumza nao. Kati ya vitu amezungumza ni pamoja na kusimulia kipindi alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete.Nape pia amewaambia wazee hao kuwa Historia inamuonesha kuwa kuna mambo mazuri yanakuja juu yake hivyo hana sababu ya kumnunia Rais kwa kumtengua wadhifa wake wa Uwaziri katika Nchi hii kwani Hapo nyuma walishawahi kutenguliwa viongozi wengi lakini mwisho wao ulikuwa kupata Nyadhifa kubwa katika nchi.

Bonyeza play hapa chini kumsikiliza….

_____________________________________________________________________

IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply