Lindiyetu TV

Darassa Ajiwekea Rekodi Hii Nchini Burundi

on

Weekend iliyopita hitmaker wa ngoma ya Muziki Darassa alikuwa pande za Burundi akifanya show pande hizo, show ambazo zimeacha historia kwa wasanii wa muziki wa hip hop kwa hapa kibongo bongo kufanya kama alichokifanya Darassa pande hizo.

Kutokana na show hiyo kufanyikia katika Uwanja wa Taifa nchini humo na Darassa kufanikiwa kupiga nyomi la maana katika show hiyo, kitu ambacho kilionekana kuwa kigumu kwa wasanii wa hip hop wa hapa nchini kufanya hivyo katika mataifa ya jirani.

Kama ulipitwa na show hiyo chukua muda wako angalau kidogo kukitazama alichokifanya Darassa pande hizo za Burundi Kwa kubofya Play kwenye Video Hii hapa Chini.

_________________________________________________________________________

IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

 

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Leave a Reply