Lindiyetu TV

LIVE: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa Reli ya kisasa DSM-Morogoro

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo April 12, 2017 anaweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.

Unaweza kubonyeza play kutazama moja kwa moja hapa chini…

____________________________________________________________________________

IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply