BURUDANI

Tizama Hapa Sehemu ya Five MTV SHUGA (Episode Five)

on

Kama ulidhani kuwa kipaji pekee cha Vanessa Mdee ni kuimba basi sanukia surprise hii ya msimu wa tano wa series ya MTV Shuga ‘Down South’ itakuacha mdomo wazi ukijiuliza maswali mengi sana juu ya uwezo wake wa kuigiza.

Season 5 ya MTV Shuga (Down South) Ipo hewani tayari  na Vanessa Mdee ni miongoni mwa sura mpya zinazoonekana kwenye msimu huo. Storm (Vanessa Mdee) ni mke wa Rakeem, mwanaume tajiri anaemiliki na kuendesha biashara kubwa ya club nchini South Africa.

ITAZAME HAPA SEHEMU YA FIVE


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply