Wasanii

VIDEO :: RayVanny Afunguka Furaha yake ya Kupata Mtoto wa Kwanza

on

Weekend iliyopita tulizinyaka taarifa njema kumuhusu mkali kutoka WCB Wasafi, Rayvanny kuwa amebarikiwa kupata mtoto wake wa kwanza na mpenzi wake Fahyma.

Rayvanny ali zi-announce taarifa izo kiaina kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kupost pica ya baby mama wake huyo na kuandika caption iliyosomeka kama “Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto ??? NAKUPENDA!!” na kuacha gumzo mitandaoni hapo kwakuwa ilikuwa ikifaamika kuwa mrembo huyo alikuwa mjamzito.

Rayvanny hivi sasa yuko nchini Sweden katika tour yake kimuziki, LindiYetu imemtafuta mkali huyo na ameweza kufunguka yakwake ya moyoni kuhusu kupata kwake mtoto.

Bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kumsikiliza Rayvanny mwanzo mpaka mwisho akizungumzia hisia zake baada ya kupata mtoto ambaye amempa jina la Jaydan.


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply