MICHEZO

Yanga Yajibu mapigo kwa Ndugai, Cheki Hapa.

on

April 19, 2017. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai aliweza kuingiza utani ndani ya Ukumbi wa bunge kuhusu wanajangwani kwa kupokea kichapo cha 4-0 na kusababisha kupoteana mjini Algiers na kusababisha timu hiyo kurudi mafungumafungu.

Ishu hiyo ya Spika wa Bunge Job Ndugai kutoa utani huo kwa vijana wa Jangwani ulianza baada ya  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Annastazia Wambura kujibu swali la mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia ndipo Ndugai akaingiza kwa kusema kwambaNamuunga mkono Mh Naibu waziri kwamba tukazanie mambo ya sanaa maana yake inaelekea mambo ya mpira yanatupa shida kidogo, watu wakapoteana uwanjani bao nne, wakapoteana mjini wanarudi mafungu mafungu”,

Kupitia kurasa ya Twitter ya Yanga nayo ikaamua kujibu mapigo. iliandika ujumbe kwa kusema kwamba “Vipi kuhusu wale waliopoteana tangu 2013?”.


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply