MICHEZO

ZIMEVUJA: Picha za Jezi watakazotumia Yanga msimu wa 2017/2018

on

Imekuwa kawaida kwa vilabu mbalimbali barani Ulaya kuwa na utamaduni wa kutengeneza jezi mpya zenye ubunifu tofauti tofauti kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi za kwao na mashindano mbalimbali yatakayokuwa katika msimu husika.

Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii imeonesha jezi zinazotajwa kuwa ndio jezi mpya zitakazotumiwa na klabu ya Yanga msimu wa 2017/2018. Jezi hizo bado hazijathibitishwa wala kutambulishwa rasmi na uongozi wa klabu hiyo lakini kuna tetesi kuwa ndio zitatumiwa msimu wa 2017/2018.


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply