Wasanii

VIDEO: Hii Ndio Ndoto ya RayVanny iliyotimia

on

RayVany ametimiza moja ya ndoto baada ya kuzungumza na mtu ambaye alikuwa anamtazama kwenye TV toka akiwa mtoto. Ray Vany amepata nafasi ya kuzungumza na legendary wa muziki wa dansi, Yondo Sister ambaye alitamba miaka ya nyuma ambapo kupitia account yake ya Instagram RayVany amepost kipande cha video akimuimbia Yondo Sister na akayaandika haya…..

“Mungu ni mwema alietupa nafasi hii maana haikua rahisi kutoka tulipotoka mtaani mpaka hapa tulipo.Leo Nimepata Nafasi ya kuzungumza na mtu ambaye nilikua namshangaa kwenye Tv leo hii nae anasikiliza mziki wangu legend @yondo_sister Pia kasema Amefurahishwa sana na wimbo wa #SHOWME Baada ya @richmavoko Kumtaja (kiuno ka yondosister) God is good all the time”.


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply