Wasanii

Chemical Adata kwa Nay wa Mitego

on

Msanii wa Bongo Flava Chemical ametaja sifa za mwanaume ambaye anamuhitaji katika maisha yake pindi atakapokuwa tayari kuingia katika mahusiano.Ingawa rapper huyo ameeleza kwa sasa yupo single, amedai anampenda mwanamume ambaye si sharobaro na wakishakubaliana akajitambulishe nyumbani kwao.

“Mimi ni msichana fulani ambaye napenda mwanaume fulani lakini sijui, unajua mapenzi hayachagui, lakini mtu fulani ambaye ni nigger hard unajua sio sharobaro, kawaida real nigger kama Nay,” ameiambia Planet Bongo ya EA Radio na kuongeza.

“Mtu anayetaka aje kwenye familia afuate process, me am still traditional girl usione nafanya hip hop ukachukulia poa. Naamni kuna perfect guy wapo soma where, kwa aje afuate process then it will be ok,” amesisitiza Chemical.


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply