MCHANGANYIKO

VIDEO :: Zarithebosslady Aliamsha Dudeee.

on

Zarithebosslady mama watoto wa Diamond Platinumz akiwa Uganda kampala kwa mama yake mzazi na dada zake pamoja na rafiki zake wakidance kwa pamoja, kukata mauno yaani viuno bila mfupa.

Inasemekana lakini Eti…Eti Zari na Diamond Platinumz wako kwenye missunderstanding iliyomfanya Zari kukimbilia Uganda kupunguza stress za baba watoto wake huyo Diamond baba tifa kisa kikiwa inasemekana lakini… ni kudaiwa kumpa mimba Hamisa Mobeto na kuwa na mahusiano na warembo wengine kibao.

Cheki Video Hapa Chini:


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply