MCHANGANYIKO

Diva Awafungukia ya Moyoni Watangazaji wa Clouds, Kisa Malinzi wa TFF

on

Mtangazaji wa kipindi cha Ala Za Roho cha Clouds, Diva The Bawse ameamua kutoa yake ya moyoni kwa kuwachana watangazaji wenzake ambao wamekuwa wakimzungumzia vibaya baba yake mzazi ambaye ni Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi.Akiongea na Bongo5, Diva amesema, “Nimeipokea vibaya sana habari za baba yangu Jamal Malinzi kuingia katika matatizo, nilishtuka unajua siku hizi kila kitu unaona kwenye mtandao eeh, nikaamua niende nyumbani.”

“Hili suala linaniuma sana, kuna watu wengine mimi ninafanya nao kazi lakini niamini wanafurahia sana wanatuma vitu katika mitandao ya kijamii, Instagram, Facebook za kumzungumzia baba yangu vibaya halafu najiuliza mimi huyu nafanya naye kazi alafu anafanya hivi yaani hana hata utu najisikia huzuni sana,” ameongeza.

NIMEKUWEKEA HAPA MAHOJIANO YOTE BOFYA PLAY.


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply