BURUDANI

New Video | Roma – Zimbabwe | Itazame Hapa

on

Katika wimbo huu Roma Mkatoliki amegusia juu ya kauli ya Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kessy ambaye alisema kuwa kitendo alichofanyiwa Roma Mkatoliki ikiwa pamoja na kuteswa na kutekwa ni sawa na kudai kuwa msanii huyo amemtukana Rais Magufuli.

Hivyo Roma Mkatoliki amesema hana sababu ya kumtukana Rais na kusema yeye anamshtakia kwa Mungu na kudai atahukumiwa kwa mkono wa Mungu.

Itazame hapa video hii kwa uzuri zaidi

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply