BURUDANI

New Audio & Video | Lulu Diva – Give It To Me | Itazame na Uipakue Hapa

on

Diva wa Bongo Fleva LULU DIVA hit Maker wa Single ya “UTAMU” Leo hii ameachia Single yake Mpya uiitwayo “Give It To Me”. Mwanadada huyo ameamua kuachia Audio na Video kwa Pamoja.

Icheki hapa kisha Unaweza Ipakua Pia

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply