BURUDANI

New Audio & Video | Madee ft Tekno – Sikila | Itazame na Uipakue Hapa

on

Mkali wa Bongo Fleva kutoka Manzese Tip Top Conection Madee Ali amedropisha hit nyingine inayokwenda kwa jina la “SIKILA” amemshirikisha Tekno Kutoka Nigeria.

Rais huyo wa Manzese kama wengi wanavyopenda kumuita ameamua kuachia Audio na Video  ya wimbo huo kwa Pamoja. Video hii iko tofauti kidogo kwani Idea aliyoitumia ni ya Cartoon.

Icheki hapa kisha Unaweza Ipakua Pia

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply