Kitaifa

Rais Magufuli afanya Uteuzi Mpya Leo August 11, 2017

on

Rais Magufuli amemteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali kwa mujibu wa sheria mpya ya Huduma za Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016.

Nafasi hiyo imebadilishwa kutoka Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo (ikiteuliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo), kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ambapo sasa Mamlaka ya Uteuzi yanatoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply