MICHEZO

VIDEO :: Yanga yakubali Kichapo Kutoka kwa Ruvu Shooting

on

Klabu ya Yanga Leo imekubali kichapo cha Goli Moja kutoka kwa timu ya Ruvu Shooting katika Mchezo wa Kirafiki uliochezwa katika Dimba la Azam Complex uliopo Chamanzi jijini Dar es Salaam.

Ruvu Shooting walipata Goli la Kuongoza Mnamo dakika ya 21 baada ya kujifunga kwa Mchezaji wa Yanga baada ya kupiga kichwa fyongo na kumshinda mlinda mlango Ramadhani Kabwili.

Hadi mwisho wa Mchezo huo matokeo yalibaki kuwa Yanga SC 0 – 1 Ruvu Shooting.Hili ni Goli walilojifunga Yanga.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply