BURUDANI

New Audio | Fid Q ft Maua Sama, Hard Mad & Noorelly – Ulimi Mbili | Ipakue Hapa

on

Rapa Kutoka 255 Fid Q ametopa zawadi Mashabiki wa Hip Hop katika siku yake Muhimu ya Mfanano wa Kuzaliwa yaani Leo August 13. Ngoma inaitwa “Ulimi Mbili” amewashirikisha Maua Sama, Hard Mad & Noorelly. Mtayarishaji wa Ngoma hii ni Mtu mzima P FUNK MAJANI Kutoka Bongo Record.

Isikilize hapa Kisha Niandikia Maoni yako Hapo chini.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply