Audio

New Audio | Barnaba – Mapenzi Jeneza | Ipakue Hapa

on

Mkali wa Hit Single ya “Tunafanana” Barnaba Classic ameamua kushusha mzigo mpya ambao ameweza kuupatia Jina “Mapenzi Jeneza”. Studio ilikofanyikia ngoma hii ni pale pale anapopamiliki yeye mwenyewe Hightable Sound lakini kwa sasa Mtayarishaji wa Nyimbo hiyo akiwa ni EmaTheBoy.

Isikilize Hapa na Uipakue uikiipenda. Usisahau kuniachia Maoni yako Hapo Chini.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply