Video

New Video | Patoranking ft Diamond Platnumz – Love You Die | Itazame Hapa

on

Baada ya Kusubiria kwa Hamu kubwa ile Collabo Matata ya Mastaa wawili kutoka Tz hapa namzungumzia Rais wa Wasafi Diamond Platnumz na Patoranking Kutoka pande za Nigeria.

Mapema Leo waliweza Kuachia Audio ya wimbo wao Mpya unaokwenda kwa Jina la “Love you Die”. Na sasa Wameachia Video ya wimbo huo. Unakaribishwa Kuitazama Hapa

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply